"Kura yako ni Alama ya Maendeleo
Tutiki sote kwa pamoja kuendeleza Zanzibar yetu yenye neema na mshikamano.
✅Kuendeleza Miundombinu-barabara, bandari, viwanja vya ndege na masoko ya kisasa
✅Kukuza Uchumi-uwekezaji, ajira kwa vijana, na fursa za biashara
✅Huduma Bora za Jamii-elimu, afya, maji safi na umeme wa uhakika
✅Kuchochea Mabadiliko Chanya teknolojia, utalii na mazingira rafiki kwa maendeleo endelevu
Tutiki kwa CCM na Dkt.Hussein Ali Mwinyi ili kasi ya maendeleo iendelee.
#HAM2025
#UongoziUnaoachaAlama
#KuraNiAlamaYaMaendeleo
#CCM2025
