Mfanyabiashara wa Soko la Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba akijipiga SELFIE na Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya CCM, Dk.Hussein Ali Mwinyi alipotembelea sokoni hapo kuzungumza na Wafanyabiashara na wajasiriamali leo Septemba 24, 2025.
Katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanikisha mambo mengi Zanzibar ikiwemo;
■Kujenga taasisi imara
■Kukuza amani na mshikamano
■Kupambana na rushwa
■Kukuza uchumi kwa njia bunifu
■Kujenga misingi ya utawala bora
Kwa miaka mitano ijayo, uongozi unaoacha alama unakwenda kufanya zaidi kwa ustawi bora wa wananchi na Zanzibar kwa ujumla. Oktoba kura ya mapema kwa Dkt.Mwinyi
#HAM25
#UongoziUnaoachaAlama
#MitanoTENA
#CHAGUADK.MWINYI
.jpg)