ZANZIBAR-Kupitia uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane chini ya Rais Dkt.Hussein Ali Mwinyi, Zanzibar imeshuhudia kasi ya maendeleo kupitia miradi mikubwa ya kimkakati.
✅ Ujenzi wa Masoko
✅ Vituo vya Wajasiriamali
✅ Hospitali za Mkoa na Wilaya
✅ Mikopo isiyo na riba kwa Wajasiriamali
✅ Barabara na Miundombinu ya kisasa
✅ Uwekezaji na Ukuaji wa Uchumi
✅ Maboti ya Wavuvi na wakulima wa mwani
✅ Vituo vya Mabasi
✅ Shule za Ghorofa
✅ Diko la Samaki
Tukichague Chama Cha Mapinduzi, kiendeleze kasi ya maendeleo.
#HAM2025
#UongoziUnaoachaAlama
#KuraNiAlamaYaMaendeleo
#CCM2025
