REA yapamba maonesho ya kitaifa ya teknolojia ya madini Geita

GEITA-Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekuwa kivutio pekee kwa taasisi za Serikali zinazoshiriki katika Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Geita.
Ushiriki wa REA katika maonesho hayo umevutia wananchi wengi kutembelea banda la wakala, ambapo wataalam kutoka REA wanaendelea kutoa elimu ya miradi mbalimbali ya REA inayotekelezwa hapa nchini kwa mafanikio pamoja kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kusambaza na kuuza majiko banifu kwa bei ya ruzuku na majiko ya gesi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news