Waziri Mkuu ashiriki maziko ya Abbas Ali Mwinyi leo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Septemba 26, 2025 ameshiriki katika maziko ya Abbas Ali Mwinyi ambaye ni kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika Mangapwani, Zanzibar.