Dkt.Msemwa ashiriki Mkutano wa Mawaziri wa Fedha wa Jumuiya ya Madola kando ya mikutano ya Benki ya Dunia na IMF jijini Washington


Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango (NPC), Dkt. Fred Msemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Mipango ya Kitaifa wa Tume hiyo, Bi. Angela Shayo, wakifuatilia Mkutano wa Mawaziri wa Fedha wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth Finance Ministers Meeting - CFMM) uliofanyika pembezoni mwa Mikutano ya Mwaka ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia (WB), inayoendelea jijini Washington D.C, Marekani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news