Na Derek Kaitira MURUSURI
BINADAMU HUSAHAU. Lakini si kwa mtu muungwana. Waswahili wanasema kuwa wema hauozi. Katika siasa na utawala, maneno hupita, lakini vitendo hubaki kuwa kumbukumbu ya kudumu.
Tangu alipoingia madarakani, Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama kiongozi anayefanya maamuzi yanayozingatia misingi ya Utu (Human Dignity) hadi akaitwa “mponyaji wa Taifa,”-yaani national healer. Endelea;
Tags
Habari



