Taarifa kwa wapangaji walioondoka na madeni kwenye nyumba za NHC
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linawakumbusha wapangaji wote waliowahi kuondoka kwenye nyumba za Shirika bila kumaliza malipo ya kodi, kuhakikisha wanalipa madeni yao yote kufikia Oktoba 15, 2025.