WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wameshauriwa kutoshiriki maandamano yanayohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii yaliyopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu, na badala yake wajitokeze kupiga kura kwa amani katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe hiyo.
Wito huo ulitolewa Oktoba 4,2025 na Shehe wa Msikiti wa Mtambani, Wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es salaam,Shabani Pembe wakati wa Kongamano la Kuombea Uchaguzi, Amani na Dua ya Nchi lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo




























