ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua ndugu Ali Mbarawa Kombo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC).
Ndugu Ali pia ni Afisa Msimamizi Mkuu wa Ofisi, Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale.

