ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Oktoba 20,2025 amemteua ndugu Fatma Muhsin Omar kuwa Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi Zanzibar. Kabla ya uteuzi huo, ndugu Fatma alikuwa Hakimu wa Mkoa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.
