Zingatia kuwa, siku ya Uchaguzi Mkuu, baada ya kupiga kura, hakuna mtu anayeruhusiwa kukaa kituoni, hivyo ondoka kituoni kwa utulivu na subiri matokeo rasmi ukiwa nyumbani.
Usibaki katika eneo la kupigia kura bila sababu, ili kuepusha msongamano au hali ya vurugu. Kwa pamoja tumedhamiria kumchagua tena Dkt.Hussein Ali Mwinyi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kukoleza kasi ya maendeleo Zanzibar.
KUMBUKA
✅ Piga kura kwa amani
✅ Fuata maelekezo ya maafisa wa uchaguzi
✅ Weka alama sahihi kwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi
✅ Baada ya kupiga kura, ondoka kituoni kwa utulivu
✅ Subiri matokeo kutoka tume kupitia vyombo rasmi vya habari ukiwa nyumbani
TUNASEMA:
✅Amani Kwanza
✅ChaguaHusseinAliMwinyi
✅OktobaTunatiki
✅UongoziUnaoachaAlama
✅MitanoTenakwaHusseinAliMwinyi
■Tushiriki kwa amani,tujenge taifa letu pamoja.
