Waziri Kombo afanya mazungumzo na mabalozi wa nchi zisizo wanachama wa Umoja wa Ulaya waliopo nchini

DAR-Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kuzungumza na mabalozi wa nchi zisizo wanachama wa Umoja wa Ulaya (Non-EU Ambassadors) waliopo nchini, kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kujadili maeneo ya ushirikiano wa pamoja.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mabalozi kutoka Norway, Switzerland, Uingereza na Canada.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here