Dkt.Emmanuel John Nchimbi aapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akikabidhiwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Masaju, mara baada ya kuapishwa katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Novemba 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news