ZANZIBAR-Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Unguja, Zanzibar leo Novemba 29,2025.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Unguja, Zanzibar leo Novemba 29,2025.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akishiriki Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Unguja, Zanzibar leo Novemba 29,2025.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akishiriki Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Unguja, Zanzibar leo Novemba 29,2025.