NA DIRAMAKINI
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa Tanzania Bara zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 5 Novemba 2025 saa 6:01 usiku.

Kwa mwezi Novemba 2025, bei za rejareja na za jumla katika mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama zinavyoonekana katika Jedwali Na. 1 na 2, mtawalia.





