DAR-Kiungo Issa Abushiri wa Klabu ya Fountain Gate FC amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Oktoba,2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa mwaka 2025/2026.
Vilevile, Mohamed Laizer wa Fountain Gate FC amechaguliwa kuwa kocha bora wa ligi hiyo kwa mwezi huo.