RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Jimbo la Makambako, Daniel Godfrey Chongolo kuwa Waziri wa Kilimo.

Uteuzi huo umefanyika Novemba 17, 2025, Ikulu Chamwino jijini Dodoma ambapo Naibu Waziri katika Wizara hiyo ameteuliwa David Ernest Silinde.

Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo
























