Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameshiriki katika Ufunguzi wa Bunge la Kumi na Tatu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ufunguzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Bungeni jijini Dodoma leo tarehe 14 Novemba 2025.
Tags
Bunge la Tanzania
Dr Emmanuel John Nchimbi
Habari
Ofisi ya Makamu wa Rais
Picha
Picha Chaguo la Mhariri









.jpg)
.jpg)


