HomeDkt.Hussein Ali Mwinyi Rais Dkt.Mwinyi kuwaapisha Mawaziri wateule leo Novemba 15,2025 ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Novemba 15,2025 Ikulu Zanzibar anatarajiwa kuwaapisha Mawaziri wateule ambao aliwateua hivi karibuni. Tags Dkt.Hussein Ali Mwinyi Habari Zanzibar News Facebook Twitter