Rais Dkt.Samia amuapisha Waziri Mkuu,Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Chamwino Ikulu jijini Dodoma leo Novemba 14, 2025.