Rais Dkt.Samia awaapisha Mawaziri na Naibu Mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipowaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo Novemba 18, 2025.