Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inampongeza Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo kwa kuapishwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Wizara na Watumishi wote tunakutakia kila la kheri katika majukumu yako na kuahidi kushirikiana nawe katika kutimiza malengo ya nchi kitaifa na kimataifa.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inampongeza Mhe. Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe kwa kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Wizara na Watumishi wote tunakutakia kila la kheri katika majukumu yako na kuahidi kushirikiana nawe katika kutimiza malengo ya nchi kitaifa na kimataifa.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inampongeza Mhe. James Kinyasi Millya kwa kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Wizara na Watumishi wote tunakutakia kila la kheri katika majukumu yako na kuahidi kushirikiana nawe katika kutimiza malengo ya nchi kitaifa na kimataifa.

