Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo Novemba 17,2025 imempongeza Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Fedha pamoja na Naibu Mawaziri wa wizara hiyo Laurent Luswetula na Mhandisi Mshamu Ali Munde.


