HomeHabari TFF yaendesha programu ya utambuzi wa vipaji Dar Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limeendesha programu ya utambuzi wa vipaji Mkoa wa Dar es Salaam kwenye Kituo cha Ufundi cha TFF, Kigamboni, Programu hiyo itaendelea kwa siku ya pili kesho kuanzia saa 3 asubuhi. Tags Habari Michezo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Vijana na Vipaji Facebook Twitter