DAR-Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa taarifa kuufahamisha umma kuwa hafla ya Tuzo za msimu wa 2024/2025 iliyopangwa kufanyika tarehe 5 Desemba 2025, imeahirishwa.
Hatua hiyo imetokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao kwa sasa. “Mara tarehe mpya itakapopangwa mtafahamishwa mara moja,” taarifa hiyo imeeleza.
