Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff amesema tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora kuvutia uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania.
Waziri Shariff aliyasema hayo wakati akishiriki hafla ya utoaji tuzo hizo zilizofanyika mnamo Tarehe 21 Novemba 2025 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es salaam.
