Dkt.Natu El-maamry Mwamba apokea tuzo za mashindano ya uwasilishaji bora wa hesabu


Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Katikati), akipokea tuzo ya Wizara ya Fedha (Fungu 50), kutoka kwa PAT CPA. Nuru Mbekenga Abdallahmed (wa kwanza kushoto), baada ya Wizara ya Fedha kutangazwa mshindi wa kwanza wa mashindano ya Uwasilishaji Bora wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2024, yaliyofanyika tarehe 4 Desemba 2025 jijini Dar es Salaam, ambapo ushindi huo unaifanya Wizara ya Fedha kuwa mshindi wa mara ya tano mfululizo katika nafasi mbalimbali tangu kuanza kushiriki kikamilifu mashindano hayo mwaka 2020. Wengine katika picha ni Manaibu Katibu Wakuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (wa kwanza kushoto) na Bi. Amina Khamis Shaaban (wa pili kulia)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Katikati), akipokea tuzo ya Wizara ya Fedha (Fungu 6), kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Msaidizi, Mhandisi. Kenneth Nindie (wa pili kulia), baada ya Wizara ya Fedha kutangazwa mshindi wa tatu katika kipengele cha Idara za Serikali Zinazojitegemea (Independent Government Department) katika, mashindano ya Uwasilishaji Bora wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2024, yaliyofanyika tarehe 4 Desemba 2025 jijini Dar es Salaam, Wengine katika picha ni Manaibu Katibu Wakuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (wa kwanza kushoto) na Bi. Amina Khamis Shaaban (wa pili kulia).(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here