"Mimi Hamza S. Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa niaba ya Menejimenti na Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ninaungana na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na viongozi wenzangu kuwatakia Heri ya Mwaka Mpya Menejimenti na Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria na Wadau wote wa Sekta ya Sheria nchini.
"Tanzania yetu ni moja, tofauti ni sehemu ya demokrasia, na umoja wetu ndio msingi wa maendeleo endelevu.Tuukaribishe mwaka 2026 kwa amani, mshikamano na imani thabiti kwamba kesho itakuwa bora kuliko jana."
____________________
#TanzaniaYetuSote
#NchiYetuKwanza
#MaendeleoEndelevu
