Ni muhtasari wa matukio yote ya juma yaliyofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe,Mhe. Christopher Ngubiagai na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Ndg. Vicent Mbua kuanzia tarehe 1 hadi 7 Disemba 2025.Juma hili litaangazia matukio yaliyojikita katika uimalishaji wa misingi ya utawala bora na demokrasia, uratibu katika miradi ya maendeleo ya wilaya yenye kugusa mustakabali wa maendeleo katika wilaya ya Ukerewe.
#amaninamshikamano
#dcngubiagai