Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 5,2026

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3283.59 na kuuzwa kwa shilingi 3316.43 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.67 na kuuzwa kwa shilingi 1.68.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 5,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1777.56 na kuuzwa kwa shilingi 1795.34 huku Fraka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3076.94 na kuuzwa kwa shilingi 3107.70.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.67 na kuuzwa kwa shilingi 0.68 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.82 na kuuzwa kwa shilingi 0.83.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2439.70 na kuuzwa kwa shilingi 2464.1 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7925.74 na kuuzwa kwa shilingi 8005.00.

S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED664.2443670.8868667.565505-Jan-26
2ATS156.3792157.943157.161105-Jan-26
3AUD1633.86911650.20781642.038405-Jan-26
4BIF0.81970.82790.823805-Jan-26
5BWP175.9026177.6616176.782105-Jan-26
6CAD1777.56141795.3371786.449205-Jan-26
7CHF3076.93653107.70593092.321205-Jan-26
8CNY348.813352.3012350.557105-Jan-26
9CUC101.6543102.6708102.162605-Jan-26
10DKK383.047386.8775384.962205-Jan-26
11DZD18.717118.904318.810705-Jan-26
12EUR2861.77162890.38932876.080405-Jan-26
13GBP3283.59623316.43223300.014205-Jan-26
14HKD313.0835316.2143314.648905-Jan-26
15INR27.050427.320927.185705-Jan-26
16IQD1.86171.88031.87105-Jan-26
17IRR0.0580.05850.058205-Jan-26
18JPY15.552415.707915.630105-Jan-26
19KES18.883119.07218.977605-Jan-26
20KRW1.68751.70431.695905-Jan-26
21KWD7925.74558005.00297965.374205-Jan-26
22MWK1.39331.40731.400305-Jan-26
23MYR601.5047607.5197604.512205-Jan-26
24MZM37.801438.179437.990405-Jan-26
25NAD147.8384149.3168148.577605-Jan-26
26NGN1.69561.71251.704105-Jan-26
27NLG976.4671986.2317981.349405-Jan-26
28NOK242.5104244.9355243.722905-Jan-26
29NZD1407.95261422.03211414.992305-Jan-26
30PKR8.70558.79258.74905-Jan-26
31QAR666.5855673.2514669.918405-Jan-26
32RWF1.66731.6841.675705-Jan-26
33SAR650.5181657.0233653.770705-Jan-26
34SDR3341.17553374.58733357.881405-Jan-26
35SEK264.7075267.3546266.03105-Jan-26
36SGD1896.83021915.79851906.314305-Jan-26
37TRY56.697357.264356.980805-Jan-26
38UGX0.67270.67940.67605-Jan-26
39USD2439.7032464.12451.901505-Jan-26
40GOLD10703830.8310810869.1410757349.9805-Jan-26
41ZAR147.8348149.3132148.57405-Jan-26
42ZMW111.1482112.2597111.703905-Jan-26
43ZWD6.40346.46756.435405-Jan-26

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here