TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshindwa kuingia robo fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika baada ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji Morocco katika mchezo wa hatua ya 16 bora usiku huu wa Janauri 04, 2026.

Hata hivyo wachezaji wa Taifa Stars walimlalamikia kwa kiasi kikubwa mwamuzi Boubou Traoré raia wa Mali, wakionekana kupinga kwa kiasi kikubwa maamuzi yake ikiwemo madai ya kuwanyima penalti dakika za mwishoni za mchezo huo. Mwamuzi wa Senegal, Issa Sy alikuwa mwamuzi wa Teknolojia ya Usaidizi wa Video (VAR).
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo





















.jpg)