DODOMA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Hassan Zungu amesema,Mbunge wa Viti Maalum,Halima Idd Nassor amefariki dunia leo Januari 18,2026 akiwa katika matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.
