DAR-Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Rais mstaafu Mhe. Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Profesa Rose Upor kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho akishughulikia masuala ya taaluma.
Uteuzi wa Prof.Upor umeanza Disemba 31,2025 na anachukua nafasi ya Prof.Bonaventure Rutinwa ambaye amemaliza muda wake.
