Rais Dkt.Samia amteua Dkt.Ladislaus Chang'a kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Ladislaus Chang'a kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Uteuzi wa Dkt.Chang'a umetangazwa leo Januari 29,2026 na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Moses Kusiluka kupitia taarifa kwa vyombo vya habari.

Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Chang'a alikuwa akikaimu nafasi ya Ukurugenzi Mkuu wa TMA, baada ya kustaafu kwa Dkt. Agnes Kijazi aliyehudumu nafasi hiyo kwa karibu miaka 20.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here