HomeHabari Ratiba ya Ligi Kuu ya Soka la Wanawake Zanzibar msimu wa 2025/26 Ligi Kuu ya Soka la Wanawake Zanzibar, kwa Msimu wa Mwaka 2025-2026, inatarajiwa kuanza Rasmi leo Januari 29,2026 kama inavyoonekana kwenye ratiba ya michezo hiyo. Tags Habari Ligi Kuu ya Wanawake Zanzibar Michezo Zanzibar News Facebook Twitter