HomeElimu TANZANIA-CONNECT inakualika kwenye mkutano wa Zoom utakaoangazia maendeleo katika Sekta ya Elimu nchini, ni kesho Januari 27,2026 saa 05:00 asubuhi Mjulishe na Rafiki yako ■Huu ni mkutano jumuishi kwa wadau mbalimbali utakaoangazia maendeleo katika Sekta ya Elimu kupitia Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan. Tags Elimu Habari Sekta ya Elimu Tanzania Connection Facebook Twitter