Dkt.Ally Possi ashiriki uzinduzi wa Kamati za Ushauri wa Kisheria Ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria bila malipo Mkoa wa Dar es Salaam

DAR-Wakili Mkuu wa Serikali,Mheshimiwa Dkt.Ally Possi tarehe 16 Februari,2026 ameshiriki uzinduzi wa Kamati za Ushauri wa Kisheria Ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Mnazi Mmoja. Zoezi ambalo litadumu hadi Februari 22,2026 ambapo linaratibiwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Dkt.Ally Possi, Wakili Mkuu wa Serikali, akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kushiriki uzinduzi wa Kamati za Ushauri wa Kisheria Ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam.
Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila (hayupo pichani) wakati akizindua Kamati za Ushauri wa Kisheria Ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Mawakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila (hayupo pichani) wakati akizindua Kamati za Ushauri wa Kisheria Ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila (hayupo pichani) wakati akizindua Kamati za Ushauri wa Kisheria Ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Dkt.Ally Possi, Wakili Mkuu wa Serikali, (aliyesimama kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Mashtaka, ndugu Slyvester Mwakitalu alipowasili kwenye uzinduzi wa Kamati za Ushauri wa Kisheria Ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Ndugu Samweli Maneno, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akitoa salamu za Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wa uzinduzi wa Kamati za Ushauri wa Kisheria Ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mhe. Hamza Johari, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akitoa msaada wa sheria bila malipo kwa mwananchi wakati wa Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam inayofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mhe. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mawakili wa Serikali baada ya uzinduzi wa Kamati za Ushauri wa Kisheria Ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mhe. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza na wananchi wakati akizindua Kamati za Ushauri wa Kisheria Ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Dkt.Ally Possi, Wakili Mkuu wa Serikali (aliyeketi kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Taifa wa Mashtaka, ndugu Slyvester Mwakitalu kabla ya uzinduzi wa Kamati za Ushauri wa Kisheria ngazi ya Mkoa na Wilaya na Kliniki ya Sheria Bila Malipo Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here