Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 10,2026

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.71 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 10,2026 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1867.82 na kuuzwa kwa shilingi 1886.49 huku Fraka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3306.87 na kuuzwa kwa shilingi 3339.94.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2542.65 na kuuzwa kwa shilingi 2558.08 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8321.56 na kuuzwa kwa shilingi 8404.78.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3473.26 na kuuzwa kwa shilingi 3507.99 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.74 na kuuzwa kwa shilingi 1.76.

S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED692.1987699.1207695.659710-Feb-26
2ATS162.9781164.6079163.79310-Feb-26
3AUD1795.62191813.57811804.610-Feb-26
4BIF0.85550.86410.859810-Feb-26
5BWP204.6836206.7304205.70710-Feb-26
6CAD1867.81271886.49091877.151810-Feb-26
7CHF3306.87153339.94023323.405810-Feb-26
8CNY367.2709370.9437369.107310-Feb-26
9CUC105.9439107.0033106.473610-Feb-26
10DKK404.9908409.0407407.015710-Feb-26
11DZD19.584719.780619.682710-Feb-26
12EUR3025.75763056.01523040.886410-Feb-26
13GBP3473.26463507.99733490.63110-Feb-26
14HKD325.343328.5965326.969810-Feb-26
15INR28.047928.328428.188110-Feb-26
16IQD1.94021.95961.949910-Feb-26
17IRR0.00210.00210.002110-Feb-26
18JPY16.293816.456816.375310-Feb-26
19KES19.695219.892219.793710-Feb-26
20KRW1.74051.75791.749210-Feb-26
21KWD8321.56268404.77838363.170510-Feb-26
22MWK1.45211.46661.459410-Feb-26
23MYR645.8353652.2936649.064410-Feb-26
24MZM39.408839.802939.605810-Feb-26
25NAD159.38160.9738160.176910-Feb-26
26NGN1.86991.88861.879310-Feb-26
27NLG1017.6721027.84871022.760310-Feb-26
28NOK264.6585267.3051265.981810-Feb-26
29NZD1536.27121551.63391543.952610-Feb-26
30PKR9.08099.17179.126310-Feb-26
31QAR694.7141701.6612698.187610-Feb-26
32RWF1.73621.75361.744910-Feb-26
33SAR677.9325684.7118681.322110-Feb-26
34SDR3490.58453525.49043508.037410-Feb-26
35SEK284.0097286.8498285.429710-Feb-26
36SGD2006.03822026.09862016.068410-Feb-26
37TRY58.28358.865858.574410-Feb-26
38UGX0.71320.72040.716810-Feb-26
39USD2542.65352568.082555.366710-Feb-26
40GOLD12738185.3312865567.1812801876.2610-Feb-26
41ZAR159.3291160.9224160.125710-Feb-26
42ZMW134.4963135.8413135.168810-Feb-26
43ZWD6.67366.74046.70710-Feb-26

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here