Magazeti leo Februari 1,2026

Yanga SC imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) uliochezwa Januari 31,2016 kwenye Uwanja wa New Aman kisiwani Zanzibar.
Katika mchezo huo, Yanga walikuwa wa kwanza kupata bao, lililofungwa na beki wake wa kati, Ibrahim Bacca, huku Al Ahly wakisawazisha kipindi Cha Pili kupitia Kiungo wao wa kati na raia wa Mali,Ally Dieng kwa Mpira wa Kona uliokufa hivyo timu hizo kugawana pointi moja.

Sare hiyo inaacha Yanga na pointi Tano (5) nafasi ya Pili , huku Al Ahly wakiendelea kusalia kileleni mwa msimamo wakiwa na Point Nane (8).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here