Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Balozi Simon Sirro amesema,bodi inafuatilia na kutatua changamoto za Mgodi wa STAMIGOLD ili kuongeza kiwango cha uzalishaji.
Balozi Sirro ametoa kauli hiyo alipotembelea na kukagua maendeleo ya mgodi wa STAMIGOLD uliopo wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kisha kuzungumza na watumishi wa mgodi huo.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo











