Magazeti leo Februari 2,2026

Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, amesema kuwa ndani ya siku 100 za Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan,sekta ya uchukuzi imepata mafanikio makubwa yaliyoimarisha reli, bandari, usafiri wa majini na anga, na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.‎
Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari Februari 1, 2026 katika Ukumbi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo jijini Dodoma, katika kutoa taarifa ya utekelezaji wa ahadi za Rais samia ndani ya siku 100.
‎Aidha, amebainisha kuwa Serikali imefufua na kuboresha Reli ya TAZARA, hatua itakayoongeza uwezo wa reli hiyo na kuimarisha biashara na nchi za Kusini mwa Afrika.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here