WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Juma Zuberi Homera, amewasili mjini Geneva, nchini Uswisi kuhudhuria Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa unaoanza tarehe 23 Februari 2026.
Katika mkutano huo wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Mhe. Waziri anatarajiwa kuwasilisha taarifa ya nchi kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Tanzania.
Katika mkutano huo wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Mhe. Waziri anatarajiwa kuwasilisha taarifa ya nchi kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Tanzania.Awali, Homera alitembelea Ofisi za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania mjini Geneva, ambako alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi Dk. Abdallah Possi, ambaye ni Mwakilishi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ofisi za Umoja wa Mataifa, pamoja na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Dk. Hoyce Temu.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo













