Magazeti leo Februari 26,2026

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema kuwa uwekezaji wa zaidi ya Sh bilioni 700 uliofanywa na Kilombero Sugar Company Limited una mchango mkubwa katika kupunguza changamoto ya ajira nchini, hususan katika sekta nyeti za uhandisi na taaluma nyingine za kiufundi.
Prof. Mkumbo ametoa kauli hiyo alipofanya ziara katika Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, na kutembelea kiwanda hicho cha sukari.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here