Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk leo Februari 19, 2026 akiwa na Mjumbe wa Tume, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar wamemtembelea ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Jabiri Omari Makame.Makamu Mwenyekiti wa INEC na wajumbe wa tume wamtembelea RC wa Songwe
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk leo Februari 19, 2026 akiwa na Mjumbe wa Tume, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar wamemtembelea ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Jabiri Omari Makame.


