ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, anawatakia wananchi wote wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla Kwaresma njema.
Kipindi hiki kiwe cha tafakari, toba na kuimarisha upendo, mshikamano na amani katika jamii.Kwaresma hii iwe chachu ya kuendeleza maadili mema na kudumisha umoja wa kitaifa.