Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO),Profesa Mohamed Y. Janabi, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tags
Dr Samia Suluhu Hassan
Habari
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Prof Mohamed Yakub Janabi
WHO Africa




