HomeDr Samia Suluhu Hassan Rais Dkt.Samia ateta na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), ndugu Martin Chungong leo Februari 27, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam. Tags Dr Samia Suluhu Hassan Habari Picha Picha Chaguo la Mhariri Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Facebook Twitter