Taarifa muhimu kwa Umma kutoka Tume ya Taifa ya Mipango (NPC) kuhusu maandalizi ya kuanza kwa utekelezaji wa Dira 2050

TUME ya Taifa ya Mipango (NPC) inayofuraha na heshima kubwa ya kuutaarifu umma kuhusu maendeleo ya maandalizi ya kuanza Utekelezaji wa Dira 2050 ambao utaanza rasmi Julai 1,2026.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango (NPC), Dkt. Fred Msemwa.

Kama mnavyofahamu,tarehe 17 Julai 2025 Rais wa Jumhuri ya Muungano waTanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua DIRA 2050 na Serikali kupitia NPC imeendelea na maandalizi ya NYEZO KUU TATU zitakazowezesha kuanza utekelezaji wa Dira 2050 kama ifuatavyo:-

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here