Bado Siku Tisa:Kuelekea uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya mwaka 2025

DODOMA-Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inatarajia kuzindua Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya mwaka 2025, kupitia Wizara ya Fedha.

Sera hiyo inalenga kuimarisha ufanisi, uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za umma, pamoja na kuongeza ushiriki wa sekta binafsi na makundi maalum ya kijamii katika shughuli za ugavi.

Uzinduzi rasmi wa sera hiyo unatarajiwa kufanyika Aprili 8, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, ambapo Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here